Saturday 30 December 2006

Events

Akina dada wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya sherehe.

Thursday 28 December 2006


Nyama choma ikiandaliwa ughaibuni!


Mojawapo ya majengo makubwa/kihistoria hapa Duniani.Jengo hili lipo Birmingham UK


Katika upambaji wa kumbini hatupo nyuma!


Moja ya ngoma kutoka katika moja ya makabila ya nyumbani Tanzania


Pamoja na kuwa tupo ughaibuni lakini bado hatuuachi/hatuusahau utamaduni wa nyumbani

Wednesday 27 December 2006

Learning

Welcome to my website! Iam a new designer for the moment but I expect to be competent in future. Please feel free to put your commments.