Tuesday 19 August 2008

Garden

Bustani zikitengenezwa na kutunzwa vizuri kama hii niliyoiona Ward End Park Birmingham hupendeza na huvutia watu kwenda kupumzika

Market

Sokoni Bullring Birmingham UK

Tea

Chai kutoka Kenya ikisambazwa katika Supermarket mbalimbali jijini Birmingham UK

Squirrel


Squirrel akiwa katika pipa la taka kama nilivyomnasa katika Bustani ya Ward End, kama nilivyomnasa katika Bustani ya Ward End,Birmingham UK.