Tuesday 17 March 2009

Karibu Summer Kwaheri Winter.



Marija ya baridi "winter" ndiyo yanaelekea ukingoni na majira ya joto "summer" hayako mbali, picha hizi nilizipiga eneo moja lakini majira tofauti, ni katika Park ya Ward End, Birmingham


No comments: